Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Timo Werner mambo magumu Lepzig

Timo Werner Timo Werner

Tue, 14 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mshambuliaji wa zamani wa Chelsea, Timo Werner, anaweza kurejea kwenye Ligi ya Uingereza mwezi Januari baada ya RB Leipzig kutangaza kuwa ataruhusiwa kuondoka katika klabu hiyo katika dirisha la majira ya baridi.

Mshambuliaji wa zamani wa Chelsea, Timo Werner, anaweza kurejea kwenye Ligi ya Uingereza mwezi Januari baada ya RB Leipzig kutangaza kuwa ataruhusiwa kuondoka katika klabu hiyo katika dirisha la majira ya baridi. Lepzig waliamua kumrudisha Werner baada ya kushindwa kuapata nafasi Chelsea lakini ameonekana sio chaguo lao tena kwa sasa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live