Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Tiketi 57200 'Sold Out" chini ya saa moja

Argentina Vs Uruguay Tiketi 57200 'Sold Out" chini ya saa moja

Thu, 9 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Tiketi za mchezo wa Novemba 17 kati Argentina dhidi ya Uruguay zimeuzwa zote [sold out] chini ya saa moja mara baada ya kutolewa rasmi.

Tiketi za mchezo wa Novemba 17 kati Argentina dhidi ya Uruguay zimeuzwa zote [sold out] chini ya saa moja mara baada ya kutolewa rasmi. Mechi hiyo itapigwa kwenye Uwanja wa La Bombonera wenye uwezo wa kuingiza watu 57,200.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live