Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Tielemans alazimisha Uhamisho Aston Villa, kisa hiki ...!

Youri Tielemasn Kiungo wa kimataifa wa Ubelgiji Youri Tielemans

Sat, 14 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo wa kimataifa wa Ubelgiji Youri Tielemans anataka kuondoka Aston Villa FC baada ya kukosa muda wa kucheza katika klabu hiyo chini ya kocha Unai Emery.

Vile vile taarifa zinasema kuwa kiungo huyo hana maelewano mazuri na kocha wa Villa Unai Emery.

Youri Tielemans alijiunga na Aston Villa msimu huu akitokea Leicester City kwa uhamisho huru baada ya timu hiyo kushuka daraja.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live