Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Tiago Rech kutoka ushabiki mpaka kuwa Rais wa Klabu

Tiago Rech V Tiago Rech

Sat, 14 Sep 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwaka 2012, mwandishi Tiago Rech alikuwa mtu pekee ndani ya uwanja akiashuhudia Mchezo baina ya Santa Cruz dhidi ya Gremio. Kwenye mchezo huo Santa Cruz ambayo ndio timu anayoishabikia ilifungwa mabao 4-1.

Mwaka 2018 klabu ya Santa Cruz ilibidi imuajiri na walimpa kazi ya kuwa raisi wa klabu hiyo.

Baada ya kukabidhiwa majukumu ya uraisi klabu hiyo ilifanikiwa kutwaa ubingwa wa State Championship mwaka 2020 na kuifanikisha klabu hiyo kufuzu mashindano ya Brazilian Cup Kwa mara ya kwanza mara baada ya miaka 127 kupita.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live