Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Thomas Tuchel arudi tena Ujerumani, ahamia kwa wapinzani

Tuchel Chels.jpeg Kocha mpya wa Bayern Munich, Thomas Tuchel

Sat, 25 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Bayern Munich imethibitisha kumfuta kazi kocha Julian Nagelsmann na kumtangaza aliyekuwa kocha wa Chelsea, Thomas Tuchel kuwa kocha mkuu klabuni hapo.

Tuchel amesaini mkataba wa kuitumikia klabu hiyo hadi 30 Juni 2025.

Tuchel amewahi kufundisha Klabu ya Borussia Dortmund ambaa ni wapinzani wa Bayern Munich.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live