Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Thomas Muller agoma kutundika Daluga

Thomas Muller Bayern Munich 3327746 Thomas Muller

Tue, 21 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mshambuliaji wa Bayern Munich na Timu ya Taifa ya Ujerumani Thomas Müller ameamua kuwa hatastaafu mwishoni mwa msimu .

Bila shaka nataka kucheza kwa mwaka mwingine zaidi ya 2024. Bado nafurahia kuwa uwanjani!", aliiambia BILD

Thomas Muller ni mchezaji ambae amekulia katika Timu za vijana za Bayern Munich na amebeba kila aina ya taji kwa ngazi ya klabu akiwa na Bayern

Chanzo: www.tanzaniaweb.live