Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Thomas Delaney nje kombe la Dunia

Thomas Delaney Thomas Delaney

Thu, 24 Nov 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Denmark imethibitisha kuwa kiungo Thomas Delaney amepata jeraha la goti wakati wa sare ya 0-0 dhidi ya Tunisia siku ya Jumanne hivyo atakosa sehemu iliyosalia ya michuano ya kombe la Dunia 2022.

Denmark imethibitisha kuwa kiungo Thomas Delaney amepata jeraha la goti wakati wa sare ya 0-0 dhidi ya Tunisia siku ya Jumanne hivyo atakosa sehemu iliyosalia ya michuano ya kombe la Dunia 2022. “Tutamkosa nje na ndani ya uwanja. Wachezaji wengine wapo tayari na tuna kikosi imara kwa ajili ya mechi zajazo,” amesema kocha wa Denmark, Kasper Hjulmand.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live