Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Thierry Henry amejipata Ufaransa

Henry France Thierry Henry

Fri, 20 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Staa wa zamani wa Arsenal na Barcelona Thierry Henry tangu apewe kibarua cha kuifundisha timu ya Taifa ya Ufaransa U21 amekuwa na muendelezo wa matokeo bora.

Rekodi za Henry ni;

4-1 dhidi ya Denmark

4-0 dhidi ya Slovenia

2-1 dhidi ya Bosnia

9-0 vs Cyprus

Michezo 4

Magoli ya kufinga 19

Magoli ya kufungwa 2

Mwamba ameanza vyema kazi yake

Chanzo: www.tanzaniaweb.live