Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Thiago Silva ajiweka kwenye kumbukumbu EPL

Thiago Silva Career Thiago Silva ajiweka kwenye kumbukumbu EPL

Wed, 22 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Thiago Silva ni mchezaji wa nne tofauti kufunga bao kwenye Ligi Kuu England akiwa na umri wa miaka 39 au zaidi, sambamba na Teddy Sheringham, Dean Windass na Ryan Giggs.

Thiago Silva ni mchezaji wa nne tofauti kufunga bao kwenye Ligi Kuu England akiwa na umri wa miaka 39 au zaidi, sambamba na Teddy Sheringham, Dean Windass na Ryan Giggs. Chelsea inajiandaa na mchezo wa Ligi Kuu England na itakuwa ugenini dhidi ya Newcastle Novemba 25.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live