Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Thiago Silva ajiunga na Fluminese ya Brazil

Thiago Silvaaa Thiago Silva ajiunga na Fluminese ya Brazil

Tue, 7 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya kudumu kwa miaka zaidi ya 15 kwenye vilabu mbalimbali barani Ulaya kama AC Milan, PSG na Chelsea hatimaye beki kisiki na aliyewahi kuwa nahodha wa timu ya Taifa ya Brazil na vilabu vya Chelsea na PSG Thiago Silva amerejea kwenye ligi ya nyumbani Brazil kuendelea kuitumikia klabu yake ya utotoni kabla ya kwenda Ulaya Flumenense ambao ni Mabigwa wa bara la Amerika kusini.

Baada ya kudumu kwa miaka zaidi ya 15 kwenye vilabu mbalimbali barani Ulaya kama AC Milan, PSG na Chelsea hatimaye beki kisiki na aliyewahi kuwa nahodha wa timu ya Taifa ya Brazil na vilabu vya Chelsea na PSG Thiago Silva amerejea kwenye ligi ya nyumbani Brazil kuendelea kuitumikia klabu yake ya utotoni kabla ya kwenda Ulaya Flumenense ambao ni Mabigwa wa bara la Amerika kusini. Thiago Silva aliondoka Fluminense mwaka 2007 kujiunga AC Milan na sasa amerejea ambapo amesaini mkataba wa miaka miwili hadi mwaka 2026.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live