Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

'Thank you' Farid Mussa?

Farid Mussa 4204 Farid Mussa.

Sun, 10 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Winga wa Klabu ya Yanga, Farid Mussa anamaliza mkataba wake na Wananchi mwishoni mwa msimu huu na atakuwa Mchezaji huru (Free agent) ambapo klabu kadhaa zimeanza kutuma ofa kwenye Menejiment yake.

Klabu za Tanzania, Azam FC, Singida Fountain Gate na Simba SC wametuma ofa rasmi kwa Menejiment yake huku Azam FC wakimtumia mtu wa kati kufikisha ofa kwa Wakala wake.

Aidha, Yanga wanasubiri ripoti ya Kocha Miguel Gamondi waanze mazungumzo na Farid ili aongeze kandarasi ambapo kwasababu wanapewa kipaumbele kuanzia vipengele vingine vya kimkataba ijapo hajasaini karatasi zozote mpaka hivi sasa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live