Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Tetesi: Watford wamfuata Mzize Yanga

Mzize Msk21 Clement Mzize

Sun, 14 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Tetesi zinaeleza kuwa Klabu ya Watford ya Uingereza inayoshiriki ligi daraja la kwanza huko Uingereza inataka huduma ya mshambuliaji wa Yanga Sc, Clement Mzize.

Inasemekana kuwa Watford wamewasiliana maombi yao kwa Wakala wa Mchezaji huyo anayefahamika kwa jina la Jasmine Razack.

Huenda Viongozi wa Yanga wakakutana na Wakala Jasmine kuzungumzia muafa wa mzize kwa maslahi ya Klabu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live