Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Tetesi: Messi kurejea Barcelona

Lionel Messi Rihla Tetesi: Messi kurejea Barcelona

Sun, 30 Oct 2022 Chanzo: Bbc

Rais wa Barcelona Joan Laporta anataka kumrejesha mshambuliaji wa Paris St-Germain Lionel Messi katika klabu hiyo ya Uhispania mwezi Januari lakini uhamisho wowote wa mchezaji huyo wa kimataifa wa Argentina mwenye umri wa miaka 35 utakabiliwa na vikwazo kadhaa mbeleni. (Sport)

Rais wa Barcelona Joan Laporta anataka kumrejesha mshambuliaji wa Paris St-Germain Lionel Messi katika klabu hiyo ya Uhispania mwezi Januari lakini uhamisho wowote wa mchezaji huyo wa kimataifa wa Argentina mwenye umri wa miaka 35 utakabiliwa na vikwazo kadhaa mbeleni. (Sport) Messi ataamua kuhusu mustakabali wake baada ya Kombe la Dunia na hataondoka PSG Januari hata kama ataamua kutosaini mkataba mpya na klabu hiyo ya Ligue 1. (Ben Jacobs)

Chanzo: Bbc