Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Tetesi: Kennedy Juma kutua Coastal Union

Kennedy Juma Simba SC.jpeg Kennedy Juma.

Wed, 5 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wagosi wa Kaya kutoka Tanga, Coastal Union SC wamekamilisha usajili wa Beki wa kati wa Simba SC, Kennedy Juma Wilson kwa ajili ya kuziba pengo la Beki wao Lameck Lawi ambaye ameondoka klabuni hapo na kujiunga na Simba SC.

Wagosi wa Kaya kutoka Tanga, Coastal Union SC wamekamilisha usajili wa Beki wa kati wa Simba SC, Kennedy Juma Wilson kwa ajili ya kuziba pengo la Beki wao Lameck Lawi ambaye ameondoka klabuni hapo na kujiunga na Simba SC. Coastal Union wanajiandaa kwa ajili ya msimu mpya wa Mashindano pia watashiriki Kombe la Shirikisho Afrika.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live