Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ten Hag kumtema De Gea

David De Gea Man Utd F365 David De Gea

Sat, 17 Dec 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Manchester United haipo tayari kutumia kifungu cha chaguo la nyongeza ya mwaka mmoja kwenye mkataba na Mlinda mlango David De Gea kwa kuwa Meneja Eric Ten Hag anataka kumsajili nyanda mwingine.

Manchester United haipo tayari kutumia kifungu cha chaguo la nyongeza ya mwaka mmoja kwenye mkataba na Mlinda mlango David De Gea kwa kuwa Meneja Eric Ten Hag anataka kumsajili nyanda mwingine. Mkataba wa De Gea Manchester unaisha mwisho wa msimu lakini Mashetani hao Wekundu walikuwa na chaguo la kumuongeza Mhispania huyo mwaka mmoja zaidi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live