Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ten Hag ataka Man United ivunje mkataba wa Ronaldo

Man Utd Manager Erik Ten Hag And Striker Cristiano Ronaldo Ten Hag ataka Man United ivunje mkataba wa Ronaldo

Tue, 15 Nov 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kufuatia mahojiano ya Cristiano Ronaldo na Piers Morgan kupitia kituo cha #TalkTv Meneja wa Manchester United Eric Ten Hag amewaambia mabosi wa klabu hiyo kuwa hamtaki Mreno huyo kwenye timu yake.

Kufuatia mahojiano ya Cristiano Ronaldo na Piers Morgan kupitia kituo cha #TalkTv Meneja wa Manchester United Eric Ten Hag amewaambia mabosi wa klabu hiyo kuwa hamtaki Mreno huyo kwenye timu yake. Ten Hag amewataka Mashetani hao Wekundu kukatisha mkataba wa Ronaldo na asicheze tena klabuni hapo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live