Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ten Hag ampa maagizo mazito Anthony Martial

Antony Martial Vv Ten Hag ampa maagizo mazito Anthony Martial

Thu, 18 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Unaambiwa Mshambuliaji wa Manchester United Anthony Martial ameambiwa afanye mazoezi peke yake ili kuboresha utimamu wake kabla ya Erik Ten Hag kufikiria kumchagua kwa ajili ya mechi zijazo za klabu hiyo.

Ten Hag anaamini kuwa Martial haonekani kuwa fiti vya kutosha kwa ajili ya kufanya kazi na kikosi cha kwanza kutokana na kiwango chake mazoezini kushuka.

Je, unadhani kitendo hiki cha kutenga wachezaji kinasaidia kuijenga timu au kinaibomoa timu?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live