Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ten Hag amkingia kifua Onana

Ten Hag X Onana Ten Hag amtetea Onana

Thu, 5 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha wa Man United, Mdachi Erik Ten Hag amemtetea mlinda mlango wake Andre Onana licha ya kufanya makosa katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa dhidi ya Galatasaray siku ya Jumanne.

Mchezo huo ulioisha kwa Man United kukubali kipigo cha mabao 3-2 katika Dimba la Old Trafford.

Akizungumza Ten hag anasema;

“Nitamtia moyo Onana, nitamfanya arudi sawa— nitamuunga mkono. Ni kipa mzuri. Anaweza kuwa mmoja wa Magolikipa bora duniani.Tayari tumeshawahi kuona uwezo mkubwa wa Onana na pia haiba yake. Atarudi tena kwenye ubora wake,nina uhakika."

Chanzo: www.tanzaniaweb.live