Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ten Hag afanye nini?

Ten Hag Training Scaled E1659703208985 Erick ten Hag na wachezaji wake.

Thu, 21 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Erick ten Hag, kwa sasa yupo kwenye presha ndani ya Manchester United kutokana na kikosi chake kutokuwa na matokeo mazuri.

Licha ya kuanza vibaya msimu uliopita kwa kupoteza mechi mbili za awali, Ten Hag alipambana na vijana wake akibebwa na mabao ya Marcus Rashford, uokoaji wa David de Gea na ufundi wa Casemiro, timu ikimaliza nafasi ya tatu katika msimamo wa Premier League na kupata nafasi ya kucheza Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu huu.

Mwanzoni mwa msimu huu 2023-24 mambo yamekuwa magumu ndani ya Old Trafford, Man United ikipoteza mechi tatu kati ya mechi tano za Premier.

Je, una maoni gani juu ya Erik ten Hag ndani ya Man United?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: