Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ten Hag aagiza Ronaldo aondolewa Man United haraka

Skysports Cristiano Ronaldo 5823297 Ronaldo

Thu, 17 Nov 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Manchester United wanapanga kumbadilisha fowadi wa Ureno Cristiano Ronaldo, 37, na kumchukua mshambuliaji wa Paris St-Germain mwenye umri wa miaka 23 Kylian Mbappe.

Manchester United wanapanga kumbadilisha fowadi wa Ureno Cristiano Ronaldo, 37, na kumchukua mshambuliaji wa Paris St-Germain mwenye umri wa miaka 23 Kylian Mbappe. Mkufunzi wa United Erik ten Hag amesema Ronaldo hatakiwi kuichezea tena Manchester United kufuatia mahojiano yake na Piers Morgan.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live