Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ten Hag: Msisahau Man City ni Klabu Bora Duniani kwa sasa

Ten Hag X Pep Ten Hag: Msisahau Man City ni Klabu Bora Duniani kwa sasa

Mon, 4 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Erik ten Hag: “Usisahau Man City ni timu bora zaidi duniani kwa wakati huu”.

“Tunaweza kuwa karibu na kila mtu ndani ya bodi lakini tunasumbuliwa na majeruhi wengi,”.

Manchester United msimu huu haijafurukura mbele ya Manchester City baada ya kupokea vichapo viwili back to back.

Ndani ya Old Trafford United ilikung’utwa 3-0 na mchezo wa Jana, Machi 3, ndani ya Etihad walikubali kichapo cha mabao 3-1 jumla United imeruhusu magoli 6-1 kwenye EPL msimu huu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live