Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Teknolojia yazua utata bao la Barcelona

Yamal Bs Teknolojia yazua utata bao la Barcelona

Mon, 22 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Bao la Barcelona lilikataliwa baada ya Andriy Lunin kuokoa mpira wa Lamine Yamal na VAR ikiamua kwamba mpira haukuvuka mstari.

Tukio hili limezua mjadala mkubwa huku baadhi ya watu wakihoji LALIGA haina teknolojia ya goal line katika kuamua utata huo, wakati FC Barcelona ikipoteza kwa bao 3-2 mbele ya Real Madrid.

Watu wengi waliamini kwa kuwa ni ulaya basi technologia itakuwa bora baada utata ulioibuka kwenye goli la Stephan Aziz Ki aziz.ki.10 dhidi ya Mamelodi sundownsfc na VAR kuamua sio goli

Je lilikuwa goli au sio goli?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live