Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Tchouméni akutwa hana chembe chembe za dawa za kuongeza nguvu

Tchoumeni  22.png Tchouméni akutwa hana chembe chembe za dawa za kuongeza nguvu

Fri, 17 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo wa Klabu ya Real Madrid C.F. raia wa Ufaransa Auriliém Tchouméni amekutwa hana chembechembe zozote za kumuonesha kuwa anatumia madawa ya kuongeza nguvu.

Mamlaka za nchini Ujerumani zilimuweka kizuizini mchezaji huyo mara baada ya Mchezo wa nusu fainali dhidi Bayern München kwa kuhisiwa kuwa anajihusisha na utumiaji wa madawa ya kuongeza nguvu michezoni.

Baada ya uchunguzi kukamilika sasa ni rasmi kiungo huyo atajumuishwa katika kikosi kitakachotumika kwenye mchezo wa Fainali ya UEFA Champions League dhidi ya Borussia Dortmund tarehe 1st June 2024.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live