Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Tchouemeni: Real Madrid inaanza Ligi mwezi wa pili

Aurelien Tchouameni 1 Kiungo wa klabu ya Real Madrid Aurelien Tchouemeni

Thu, 15 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo wa klabu ya Real Madrid Aurelien Tchouemeni amesema kuwa kwa upande wa Real Madrid wao Ligi huwa wanaianza mwezi wa pili na miezi mingine ya nyuma huwa wanakusanya alama za kuwasaidiza kuanza vizuri Ligi.

Aurelien ameweka wazi kuwa mwezi wa pili ndio kipindi ambacho timu inapaswa kusaka alama na kuchanga karata zake vizuri ili kuweza kuwa Bingwa.

Real Madrid wanaongoza Ligi kuu nchini Hispani baada ya kumchakaza mpinzani wake wa karibu klabu ya Girona.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live