Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Tchouameni, Kroos kuikosa Liverpool Anfield

Tchouameni Tchouameni, Kroos kuikosa Liverppol Anfield

Mon, 20 Feb 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Viungo wa Real Madrid, Aurelien Tchouameni na Toni Kroos watakosekana kwenye mechi ya kesho ya ligi ya mabingwa ulaya dhidi ya Liverpool kutokana na majeraha.

Real Madrid watakuwa na kibarua kizito katika Uwanja wa Anfield hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa barani Ulaya.

Wakati Tchouameni na Kross wakikosekana, Mshambuliaji Karim Benzema amerejea na amesafiri na kikosi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live