Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Tazama mbwembwe za Mashabiki wa Simba uwanja wa Ndege Tabora (+Video)

Simba Tabora Mashabiki Kikosi cha Simba chawasili Mkoani Tabora

Wed, 22 Dec 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mashabiki wa Simba Sports Club wamejazana katika Uwanja wa ndege Mkoani Tabora, wakiisubiri timu hiyo ambapo itakipiga na KMC katika dimba la Ali Hassan Mwinyi.

Simba ambayo ilishindwa kucheza mchezo wake uliopita baada ya idadi kubwa ya wachezaji wake kukumbwa na ugonjwa, watakuwa wageni katika mchezo huo.

Tazama mbwembwe za mashabiki nje ya Uwanja;

Chanzo: www.tanzaniaweb.live