Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Tazama magoli yote Red Arrows vs Simba (+Video)

Final Whisle Meddie Kagere akisumbuana na mabeki wa Red Arrows

Sun, 5 Dec 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Dakika 90 zinamalizika kwa kuwahakikishia Simba Sports Club nafasi ya kufuzu kwa hatua ya makundi Kombe la Shirikisho Afrika.

Simba wanapita katika mtanange huo kwa ushindi wa jumla wa magoli 4-2, licha ya hii leo kupoteza kwa mabao 2-1 ugenini.

Tazama magoli yote yaliyofungwa katika mchezo huu wa leo.



Chanzo: www.tanzaniaweb.live