Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Tazama mabao yote Simba 4-1 Geita Gold - Video

Saido M Chasambi Mabao yote Simba 4-1 Geita Gold - Video

Wed, 22 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wekundu wa Msimbazi Simba SC imefanikiwa kuibuka na ushindi mnono wa 4-1 dhidi ya Geita Gold FC kwenye muendelezo wa ligi kuu soka Tanzania Bara.

Ushindi huo umeisadia Simba SC kupunguza bao moja kwenye tofauti ya wastani wa mabao ya kufunga na kufungwa kati yao na Azam FC ambao mapema walipata ushindi muhimu ugenini kwa kuizaba JKT Tanzania 2-0 na sasa wameweka tofauti ya wastani wa mabao 5 na Simba SC waliofungana nao alama wote wakiwa na alama 63,Azam FC kwenye nafasi ya pili na Simba SC wakisalia wa tatu

Timu hizo zote zimebakiza michezo miwili.

Klabu ya Simba bado ina matumaini ya kushika nafasi ya pili baada ushindi mnono wa bao 4-1 dhidi ya Geita Gold na kufikisha point 63 sawa na Azam aliekua na nafasi ya pili , wametofautiani kwenye magoli ya kufunga na kufungwa.









Chanzo: www.tanzaniaweb.live