Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Tazama goli la Simba dhidi ya JKT Tanzania (+Video)

Goaaal Kibu Simba wakipongezana baada ya goli

Tue, 14 Dec 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Simba wameibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya JKT Tanzania katika mchezo wa Kombe la Azam Sports Federation Cup, mchezo ambao umemalizika muda mchache uliopita katika uwanja wa Benjamin Mkapa Dar.

Goli pekee na la ushindi kwa Simba limefungwa na Kibu Denis 27' baada ya makosa ya mlinzi wa JKT Tanzania.

Tazama hapa video hapa chini, kuona goli hilo lilivyofungwa;

Chanzo: www.tanzaniaweb.live