Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Tazama goli la Pili la Yanga (+Video)

FFcgSlQWQAERejL Mfungaji wa Goli la Pili la Yanga

Tue, 30 Nov 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Goli la pili la Yanga limewekwa kimiani na Fiston Mayele, ikiwa ni goli la pili kwa Yanga na goli la tatu kwa Fiston Mayele kwenye ligi msimu huu.

Mayele amefunga bao hilo akimaliza kwa uzuri pasi iliyoelekezwa kwake na kiungo Fei Toto.

Tazama video hapa chini;

Chanzo: www.tanzaniaweb.live