Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Tazama Simba ilivyowasili Jijini Dar kutokea Zambia (+Video)

FF 6j4 XoAYyguN Kikosi cha Simba chawasili nchini kutoka Zambia

Wed, 8 Dec 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kikosi cha Simba kimewasili kutokea Lusaka nchini Zambia kilikokwenda kucheza mchezo wa marudiano kufuzu kwa hatua ya Makundi Kombe la Shirikisho Afrika.

Ujio huo wa Simba ni ishara tosha kuwa Disemba 11 shughuli haitakua ndogo pale watakapomenyana na watani wao wa Jadi Yanga.

Tazama video hapa chini namna timu ya Simba ilivyowasili;

Chanzo: www.tanzaniaweb.live