Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Taylor arudishwa EPL, Chelsea kazi mnayo wikiendi hii

Anthony Taylor  Tt Mwamuzi Anthony Taylor

Wed, 8 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Anthony Taylor atarejea kwenye Premier League wikendi hii kuchezesha pambano la Chelsea dhidi ya Manchester City.

Anthony Taylor atarejea kwenye Premier League wikendi hii kuchezesha pambano la Chelsea dhidi ya Manchester City. Anthony Taylor alisimamishwa kwa muda baada ya uamuzi wake mbaya wa kuwapa Newcastle penalti katika sare ya 2-2 dhidi ya Wolves wikiend iliyopita.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live