Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Taylor Swift amkimbiza Lionel Messi

Taylor Swift X Messi Taylor Swift amkimbiza Lionel Messi

Thu, 16 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamuziki kutoka Marekani, Taylor Swift, amesababisha mchezo wa timu ya taifa ya Argentina na Uruguay kuhamishwa uwanja ili kumpisha afanye tamasha.

Mchezo huo wa kufuzu Kombe la Dunia ulipangwa kufanyika Ijumaa ya Novemba 17 kwenye uwanja wa Monumental ambao hutumiwa na klabu ya River Plates.

Lakini siku ya mchezo huo Taylor Swift alishapata kuwa na tamasha lake katika uwanja huo huo, na yeye ndiyo aliwahi kuulipia kabla ya chama cha soka cha Argentina.

Kutokana na hilo, mchezo huo ikabidi uhamishwe na sasa utafanyika kwenye dimba la La Bombonera linalomilikiwa na klabu ya Boca Juniors.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live