Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Tatizo la Azam sio makocha - Mchambuzi

Tatizo La Azam Sio Makocha   Mchambuzi Tatizo la Azam sio makocha - Mchambuzi

Fri, 3 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mchambuzi wa soka Bongo, Farhan Kihamu, amesema Azam FC wamekuwa na mwendelezo wa kutofanya vizuri na kupata mataji kutokana na matatizo nje ya kocha.

Aamesema, Azam wanapata mambo mengi sahihi lakini kuna kitu hakipo sawa.

“Azam wana matatizo nje ya kocha, profile za makocha waliopita Azam ni kubwa na bado wanashindwa kuvunja mfupa, Azam matarajio yao ni ubingwa wa ligi kuu CAF n.k, KMC malengo yao ni kubaki Ligi kuu hata wakimrudisha presha nu tofauti," alisema Farhan.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live