Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Tanzia: Shabiki wa Yanga afariki wakati wa Dabi

Rip Funeral Tanzia: Shabiki wa Yanga afariki wakati wa Dabi

Tue, 7 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mkuu wa Mkoa wa Mara, Said Mohamed Mtanda leo ametoa salamu za pole kwa familia ya Bw. Girimaru Sindano (36) mkazi wa Kijiji cha Iharara, Wilaya ya Serengeti aliyefariki baada ya Timu ya Yanga kufunga goli la tatu katika mchezo na Timu ya Simba tarehe 5 Novemba, 2023.

Mkuu wa Mkoa wa Mara, Said Mohamed Mtanda leo ametoa salamu za pole kwa familia ya Bw. Girimaru Sindano (36) mkazi wa Kijiji cha Iharara, Wilaya ya Serengeti aliyefariki baada ya Timu ya Yanga kufunga goli la tatu katika mchezo na Timu ya Simba tarehe 5 Novemba, 2023. Taairfa hii ni kwa mujibu wa Taarifa iliyoandikwa katika ukurasa wa X.COM na Instagram ya Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mara.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live