Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Tanzia: Mkali wa mabao Kombe la Dunia afariki

Just Fontaine Mkali wa mabao Kombe la Dunia afariki

Wed, 1 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Nguli wa soka wa Ufaransa na kocha wa zamani wa Paris Saint German kati ya mwaka 1973-76, Just Fontaine amefariki Dunia akiwa na umri wa miaka 89.

Fontaine bado anashikilia rekodi mfungaji wa mabao mengi (13) zaidi kwenye toleo moja la kombe la Dunia ambapo alifunga magoli 13 kwenye mechi 6 mnamo 1958.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live