Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Tanzia: Mchezaji Justin Shonga afariki dunia

Shongaaaa 24x765 Tanzia: Mchezaji Justin Shonga afariki dunia

Mon, 1 Jul 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mshambulizi wa zamani wa Chipolopolo na Orlando Pirates, Justin Shonga amefariki dunia.

Naibu Msemaji wa Polisi wa Zambia Dan Mwale amethibitisha katika mahojiano na Timu ya FAZ Media.

Mwale alisema Shonga alifariki dunia katika Hospitali ya Polisi Sikanze baada ya kuugua kwa muda mfupi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live