Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Tanzia: Baba wa Tadeo Lwanga afariki Dunia

Tadeeo Lwanga Mshua Tanzia: Baba wa Tadeo Lwanga afariki Dunia

Tue, 12 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Aliyekuwa kiungo mzuiaji wa Simba SC , Taddeo Lwanga amefiwa na baba yake mzazi nchini Uganda jana.

Thadeo ambaye ni raia wa Uganda amesikitika kumpoteza baba yake na kuandika ujumbe “Umepigana vizuri sana. Baada ya upasuaji 5 ndani ya miezi 2, ulikuwa bado unaendelea na unaendelea kuwa na nguvu. Roho yako ipumzike kwa amani Baba,“ aliandika kiungo huyo.

Lwanga atakumbukwa na manazi wa Simba SC katika mechi ya Watani wa Jadi iliyochezwa Kigoma kwa kufunga bao 1-0 mchezo wa Fainali ya Azam Sports Federation.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live