Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Tanzanite yatupwa nje kufuzu Kombe la Dunia Wanawake U20

IMG 7588.jpeg Tanzanite yatupwa nje kufuzu Kombe la Dunia Wanawake U20

Mon, 20 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Timu ya taifa ya wasichana chini ya umri wa miaka 20, Tanzanite imetupwa nje ya mbio za kuwania tiketi ya Fainali za Kombe la Dunia mwakani nchini Colombia baada ya kufungwa mabao 2-1 na wenyeji, Nigeria Jana Jumapili katika mchezo wa marudiano Raundi ya Tatu kufuzu Uwanja wa Taifa wa Moshood Abiola Jijini Abuja.

Timu ya taifa ya wasichana chini ya umri wa miaka 20, Tanzanite imetupwa nje ya mbio za kuwania tiketi ya Fainali za Kombe la Dunia mwakani nchini Colombia baada ya kufungwa mabao 2-1 na wenyeji, Nigeria Jana Jumapili katika mchezo wa marudiano Raundi ya Tatu kufuzu Uwanja wa Taifa wa Moshood Abiola Jijini Abuja. Kwa matokeo hayo, Tanzanite inaaga kwa kichapo cha jumla cha 3-2 kufuatia sare ya 1-1 kwenye mchezo wa kwanza wiki iliyopita Uwanja wa Azam Complex, Chamazi Jijini Dar es Salaam.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live