Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Tanzania yatupwa nje AFCON U23

XXXXXXX Tanzania imeondolewa kwa jumla ya magoli 3-1

Sun, 30 Oct 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Tanzania imetupwa nje ya mbio za kuwania tiketi ya Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika kwa vijana chini ya umri wa miaka 23 baada ya kuchapwa 2-0 na wenyeji, Nigeria jana Uwanja wa Liberty Jijini Ibadan nchini Nigeria.

Tanzania imetupwa nje ya mbio za kuwania tiketi ya Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika kwa vijana chini ya umri wa miaka 23 baada ya kuchapwa 2-0 na wenyeji, Nigeria jana Uwanja wa Liberty Jijini Ibadan nchini Nigeria. Kwa matokeo hayo, Manyara Stars inatolewa kwa jumla ya mabao 3-1 kufuatia sare ya 1-1 kwenye mchezo wa kwanza Dar es Salaam wiki iliyopita.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live