Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Tanzania yashika nafasi ya tatu CECAFA U18, Uganda Bingwa

IMG 7857.jpeg Tanzania yashika nafasi ya tatu CECAFA U18, Uganda Bingwa

Fri, 8 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Tanzania Bara imemaliza nafasi ya tatu katika michuano ya vijana chini ya umri wa miaka 18 (CECAFA U18) leo baada ya ushindi wa 3-1 dhidi ya Rwanda Uwanja wa Jomo Kenyatta mjini Kisumu nchini Kenya.

Mabao ya Tanzania Bara inayofundishwa na kocha yamefungwa na Zidane Ally dakika ya 19, Said Said dakika ya 26 na Misheto dakika ya 49, wakati la Rwanda limefungwa na Didier dakika ya 37.

Katika mchezo wa Fainali Uganda wamefanikiwa kubeba taji hilo kwa ushindi wa 2-1 dhidi ya wenyeji, Kenya katika mchezo uliokwenda hadi dakika ya 120 kufuatia sare ya 1-1 ndania ya dakika 90 hapo hapo Uwanja wa Jomo Kenyatta.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live