Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Tanzania yapanda viwango vya FIFA Duniani

Taifa Stars Saudia Kikosi cha Stars

Thu, 26 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Tanzania imepanda kwa nafasi moja kwenye viwango vya ubora wa soka Duniani vilivyotolewa na FIFA leo Oktoba 26,2023.

Kutoka nafasi 122 na sasa inashika nafasi ya 121.

Timu 10 za Afrika zilizopo ambazo zipo nafasi za juu Duniani

1.Morocco (13)

2.Senegal (20)

3.Tunisia (32)

4.Algeria (33)

5.Egypt (35)

6.Nigeria (40)

7.Cameroon (43)

8.Mali (47)

9.Ivory Coast (52)

10.Burkina faso (56)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live