Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Tanzania yaichapa Djibout jumla ya magoli 12-0 kufuzu Kombe la Dunia

Tanzanite Vs Djibout Tanzania yaichapa Djibout goli 12-0 kufuzu Kombe la Dunia

Thu, 12 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Timu ya Taifa Tanzania ya Wanawake chini ya miaka 20 'Tanzanite' imeifunga Djibouti mabao 7-0 katika mechi ya pili baada ya kwanza kushinda 5-0 na kufanya jumla ya mabao kuwa 12-0 mechi ya kufuzu kucheza fainali Kombe la Dunia Colombia mwakani.

Timu ya Taifa Tanzania ya Wanawake chini ya miaka 20 'Tanzanite' imeifunga Djibouti mabao 7-0 katika mechi ya pili baada ya kwanza kushinda 5-0 na kufanya jumla ya mabao kuwa 12-0 mechi ya kufuzu kucheza fainali Kombe la Dunia Colombia mwakani. Mechi hizo zimepigwa zote katika Uwanja wa Azam Complex, Dar (Oktoba 8 na 11)ambapo sasa Tanzanite imepenya itavaana na Nigeria raundi ya tatu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live