Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Tanzania yachapwa CECAFA U20

Tanzanite Tz.jpeg Tanzanite vs Ethiopia

Wed, 3 Nov 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Timu ya Taifa ya Wanawake chini ya miaka 20,"Tanzanite" imechapwa 2-1 na Ethiopia katika mfululizo michuano ya CECAFA wanawake U20 mchana wa leo Uwanja wa FTC Njeru nchini Uganda.

Kipigo hicho kinakuja baada ya Tanzanite kushinda mechi mbili za awali, 1-0 dhidi ya Eritrea na 3-2 dhidi ya Burundi.

Tanzanite itashuka tena dimbani Jumamosi kuivaa Uganda kabla ya kukamilisha mechi zake kwa kucheza na Djibouti Novemba 9.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live