Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Tanzania ya 12 kwa nchi zenye IQ kubwa

RAIS MAGUFULIA 660x400 Tanzania ya 12 kwa nchi zenye IQ kubwa

Thu, 25 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kwa mujibu wa Jarida la The Intelligence of Nations by Richard Lynn and David Becker limeeleza kuwa Maendeleo ya taifa au bara fulani yanalinganishwa na matumizi makubwa ya Akili zaidi na Afrika ipo chini Kielimu, Kimiundombinu, Kiutawala katika kila kona.

Intelligence Quotient (IQ) inawakilisha uwezo wa kufikiri wa mtu ikilinganishwa na wastani kwa umri wao. Vipimo vya IQ huanza kutathmini hili kwa kupima kumbukumbu ya muda mfupi na mrefu.

Pia, hupima jinsi watu wanavyoweza kutatua mafumbo (Matatizo yao) vizuri na kukumbuka taarifa walizosikia na kwa haraka kiasi gani.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live