Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Tanzania vs Morocco, mgeni kafika Mwenyeji hayupo

Morocco Bongo Wachezaji wa Morocco wakijifua

Sat, 18 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Timu ya Taifa ya Morocco imeshafika nchini kwa ajili ya mchezo wa hatua ya makundi wa kutafuta tiketi ya kufuzu fainali za kombe la Dunia dhidi ya Tanzania.

Mchezo huo utapigwa Jumanne November 21 katika uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar Es Salaam.

Wakati huo huo Taifa Stars itakuwa na mchezo hii leo nchini Morocco dhidi ya Niger wa kutafuta tiketi ya kufuzu fainali za kombe la Dunia hatua ya makundi.

Kundi E lina timu za Congo Brazaville, Zambia, Eritrea, Morocco, Niger na Tanzania

Mwenyeji anamkuta mgeni.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live