Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Tanzania mwenyeji warsha ya leseni Klabu za Afrika

Club License.jpeg Tanzania mwenyeji warsha ya leseni Klabu za Afrika

Wed, 24 May 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Tanzania ni mwenyeji wa Warsha ya siku nne ya mafunzo ya Leseni za Klabu (Club Licensing) yanayoendelea kwenye hoteli ya Johari Rotana Jijini Dar es Salaam.

Tanzania ni mwenyeji wa Warsha ya siku nne ya mafunzo ya Leseni za Klabu (Club Licensing) yanayoendelea kwenye hoteli ya Johari Rotana Jijini Dar es Salaam. Mafunzo hayo yanashirikisha nchi 17, ambazo mbali ya wenyeji Tanzania, nyingine ni Kenya, Uganda, Misri, Rwanda, Eritrea, Sudan Kusini, Gambia, Sierra Leone, Libya, Liberia, Ghana, Somalia, Nigeria na waalikwa, Zanzibar.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live