Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Tanzania kucheza michezo rasmi ya FIFA Series

Taifa Stars Link Kikosi cha Taifa Stars

Sat, 17 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Timu ya Taifa ya Tanzania "Taifa Stars" inatarajia kwenda nchini Azerbaijan Kwaajili ya mashindano madogo ya FIFA Series yatakayo husisha timu nne kutoka mabara tofauti.

Stars itacheza mchezo wake wa kwanza March 22 dhidi ya Bulgaria na mchezo wa pili utapigwa March 25 dhidi ya Mongolia.

FIFA Series ni mashindano madogo mbadala wa mechi za kirafiki za kimataifa timu shiriki zitakuwa ni Tanzania, Bulgaria, Mongolia pamoja na mwenyeji Azerbaijan.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live