Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Tanzania Prisons jahazi linazidi kuzama

Ruvu Shooting 20 Wachezaji wa Ruvu Shooting wakishangilia goli dhidi ya Polisi Tanzania

Mon, 21 Feb 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Maafande wa Ruvu Shooting, siku ya jana wameibuka na ushindi wa goli 1-0 katika Uwanja wa kumbukumbu ya Sokoine Jijini Mbeya, mbele ya maafande wa Tanzania Prisons.

Maafande wa Ruvu Shooting, siku ya jana wameibuka na ushindi wa goli 1-0 katika Uwanja wa kumbukumbu ya Sokoine Jijini Mbeya, mbele ya maafande wa Tanzania Prisons. Wakati Ruvu Shooting bao lao limefungwa na Hamadi Majimengi dakika ya 44, ushindi ambao unaifanya kufikisha pointi 15 kwenye mechi 15 nafasi ya 12 wakati Prisons inayobaki na pointi zake 11 za mechi 15 sasa inaendelea kushika mkia.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live