Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Tanzania Prison yapita njia zile zile

Tz Prisons Prisons wafuata nyayo za Vigogo

Tue, 14 Dec 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Tanzania Prisons imezindua jezi zake mpya kwa msimu wa 2021/22 ambao unaendelea.

Tanzania Prisons wamezindua jezi hizo jijini Dar es salaam baada ya kuingia mkataba na Kampuni ya VunjaBei uliogharimu kiasi cha Shilingi milioni 60.

Prisons inakuwa klabu ya tatu ya Ligi Kuu msimu huu kuingia mkataba wa Kampuni ya VunjaBei, ikitanguliwa na Simba SC na Polisi Tanzania.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live